Monday, January 30, 2017

PICHA: MELI MPYA YA AZAM SEALINK 2 ILIYOWASILI TANGA LEO.

Meli mpya na ya kisasa iitwayo AZAM SEALINK 2 aina ya RORO yenye uwezo wa kubeba abiria wapatao 1650, mizigo uzito wa tani 717 sambamba na magari 150 imetia nanga 
Bandari ya Tanga leo.

Meli hiyo inatarajiwa kufanya safari zake na kutoa huduma za kubeba abiria na mizigo ikiwemo magari kutoka Pemba kwenda Unguja hadi Tanga mara moja kwa wiki.
Hapa chini nimekuwekea baadhi ya picha za meli hiyo.
                                                             

0 comments:

Post a Comment